Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

OK kama unajisikia vizuri basi endelea
Tunafurahia sredi zako na hayo ndo majibu. Pole sana utazoea tu. Ukitaka wasikuzungumzie acha kujieleza kiundani mitandaoni la sivyo tupo ambao tunaunganisha dots.
 
Tunafurahia sredi zako na hayo ndo majibu. Pole sana utazoea tu. Ukitaka wasikuzungumzie acha kujieleza kiundani mitandaoni la sivyo tupo ambao tunaunganisha dots.
ndio kila sehemu unanitaja yaan we unaniwaza tu Mimi kha , we umezuiwa kuzungumzia yako!!we ndio nikupe pole maana naona ukinitaja unapata nafuu ,eti niache !!unalazimisha mazoea
uwe na siku njema
 
ndio kila sehemu unanitaja yaan we unaniwaza tu Mimi kha , we umezuiwa kuzungumzia yako!!we ndio nikupe pole maana naona ukinitaja unapata nafuu ,eti niache !!unalazimisha mazoea
uwe na siku njema
Kuna watu wanataka mazoea ili wapate free P. Kwa bahati mbaya mimi kitovu kiliangukia kadushe kangu nikiwa mdogo, hivyo sina mawazo ya kukuomba nijumuike katika karamu ya Bwana. Ni katika kusogeza siku na wakati huu ambapo ajira zimekuwa adimu. Usikereke na utembee kifua mbele kwani wewe ni mtu muhimu hapa JF.
 
usisahau pia ni mtu muhimu sana kwako kama una mengine utanicheki kule
uwe na maisha mema
 
Gudume buana! Andika riwaya tu sasa maana kipaji unacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…