siamini nilichosikia kuhusu boom semista ya 2 kwa wana udsm...!

siamini nilichosikia kuhusu boom semista ya 2 kwa wana udsm...!

Joined
Oct 26, 2012
Posts
93
Reaction score
22
Inasemekan boom litatoka kuanzia tarehe 12 mwezi wa tano,sasa hali ilivyokuwa ngumu hapa chuoni ukipita maeneo ya hall 2&5 utasikia watu wanasema njaaaaaa...njaaaa njaaaaa,ndio wimbo.tutaamkiana hapa mjini.
 
Ni bora tufunge chuo aisee, tusubiri kwanza test zimalizike halafu tuangalie itakuwaje
 
siasa kwa tanzania ni tamu kuliko elimu
 
tangu kuangushwa kwa al-shabab mmekuwa makondooooo mnasukumwa kama mawe. hasa hii mijeda ilonyweshwa sumu na intarahamwe
 
hahahaaa.. enzi zetu ukisikia njaaa njaaa hall 5 na 2 basi watu wanaweza kushuka pale kariakoo na kuanza kula maandaz ya bure..
 
Poleni madogo zangu..ha ha ha tumetoka huko,najua ikifika muda huu tulikuwa tunawahi kudownload maji na mlo mmoja kwa siku!!poleni sana na changamoto!!!
 
Poleni sana,maisha ya hapo UDSM yalinipa tabu sana kipindi kama hicho cha kisubiria bumu,ofcoz nimekua affected kisaikolojia,maana for now nafanya kazi mkoani lakini sitaki kuisikia Dsm kwani ni mji niliowahi kuishi maisha ya tabu sana,full shuttle poli from Mabibo to campus,niliteseka sana,ee mungu asante nilimaliza Udsm tayari.
 
kuanzia kesho j3-ijumaa kisipoeleweka wala silvanus kutoa tamko kuna hatari ya hali ya hewa kuchafu just imagine watu wa appeal wamebandikiwa majibu trh7 mwezi wa3 adi leo hawajasign na bodi hawajaleta pesa chuo.
 
Back
Top Bottom