Inasemekan boom litatoka kuanzia tarehe 12 mwezi wa tano,sasa hali ilivyokuwa ngumu hapa chuoni ukipita maeneo ya hall 2&5 utasikia watu wanasema njaaaaaa...njaaaa njaaaaa,ndio wimbo.tutaamkiana hapa mjini.
Poleni madogo zangu..ha ha ha tumetoka huko,najua ikifika muda huu tulikuwa tunawahi kudownload maji na mlo mmoja kwa siku!!poleni sana na changamoto!!!
Poleni sana,maisha ya hapo UDSM yalinipa tabu sana kipindi kama hicho cha kisubiria bumu,ofcoz nimekua affected kisaikolojia,maana for now nafanya kazi mkoani lakini sitaki kuisikia Dsm kwani ni mji niliowahi kuishi maisha ya tabu sana,full shuttle poli from Mabibo to campus,niliteseka sana,ee mungu asante nilimaliza Udsm tayari.
kuanzia kesho j3-ijumaa kisipoeleweka wala silvanus kutoa tamko kuna hatari ya hali ya hewa kuchafu just imagine watu wa appeal wamebandikiwa majibu trh7 mwezi wa3 adi leo hawajasign na bodi hawajaleta pesa chuo.