Mimi ni mwanamichezo ninaefahamu kuwa michezo ni ajira,furaha na afya.Kwa sasa duniani kote wanamichezo wamekuwa miongoni mwa matajiri duniani.
Hoja iliopo tunamwomba Mwenyekiti wa CCM akubali kuachia viwanja ili virudi kwa halmashauri kusudi viboreshwe na vipate uwekezaji mkubwa kwa maendeleo ya Taifa, na tutoke kwenye hii zana ya kuchanganya michezo na siasa