Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Bora mara mia kufuatilia siasa za Kenya utajifunza mengi ya muhimu kuhusu demokrasia kuliko siasa za Tz.
Bora kufuatilia ligi ya soccer la Uingereza/Ulaya utajifunza mengi kuhusu soccer kuliko ligi ya Tz.
Siasa na soccer la Tz pasua kichwa.
Bora kufuatilia ligi ya soccer la Uingereza/Ulaya utajifunza mengi kuhusu soccer kuliko ligi ya Tz.
Siasa na soccer la Tz pasua kichwa.