Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Omba kabisa uraia wa Kenya au Uingereza ili ukaishi huko. Sisi wenzako tunaridhika hivyo hivyo.Bora mara mia kufuatilia siasa za Kenya utajifunza mengi ya muhimu kuhusu demokrasia kuliko siasa za Tz.
Bora kufuatilia ligi ya soccer la Uingereza/Ulaya utajifunza mengi kuhusu soccer kuliko ligi ya Tz.
Siasa na soccer la Tz pasua kichwa.
Anaogelea kwenye bahari peke yake, bora aungane na CCM angalao atakuwa na impact kuliko upinzani ambao ni kama haupo.Vp mbatia anasemaje?
hahahahahaBora mara mia kufuatilia siasa za Kenya utajifunza mengi ya muhimu kuhusu demokrasia kuliko siasa za Tz.
Bora kufuatilia ligi ya soccer la Uingereza/Ulaya utajifunza mengi kuhusu soccer kuliko ligi ya Tz.
Siasa na soccer la Tz pasua kichwa.
Kesho tu hapa mtasikia Wassira amepata uteuzi! Mark my words.hahahahaha