kiukweli inatia mashaka hata kama hizi kelele tunazopiga humu JF hao jamaa huwa wanasikiliza au kuzisoma.
Maana yake katika press releases zote za ziara ile na prep ya ziara ile kwa mataifa mbalimbali, ilisemwa ni Rais wa nchi tu, ndiye anayepaswa kulishika lile kombe. sasa hapo protocol ifanye nini?