Siasa ni mchezo mchafu

Siasa ni mchezo mchafu

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Siasa ni nzuri halafu ni mbaya pia ebu imagine unachafuliwa kwa kitu kidogo ambacho labda hakipo kwenye siasa, mfano kupitia familia yako, mavazi yako au tembea yako

Wahenga wanasema siasa inaweza kukupandisha muda mfupi na pia ikakushusha muda mfupi

Akili kichwani mwako
 
Back
Top Bottom