Siasa ni Sayansi, sasa kila Mtanzania anayekunywa Chai anamjua Mpina kama Watumia Umeme walivyomjua Dr Mwakyembe wakati wa Richmond!

Siasa ni Sayansi, sasa kila Mtanzania anayekunywa Chai anamjua Mpina kama Watumia Umeme walivyomjua Dr Mwakyembe wakati wa Richmond!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hata Hayati Magufuli alijulikana sana alipobinafsisha Nyumba za serikali Maneno yakawa mengi na kila mtu akamjua

Siasa ni Watu wakujue kwanza iwe kwa wema au ubaya kisha baadae unatenda mema na mema kuelekea Kiti cha enzi

Sasa kila mtu anamjua Mpina na ukifika uchaguzi 2030 hatahitaji kutumia Nguvu nyingi kujitambulisha

Siasa ni Sayansi 😂
 
Back
Top Bottom