Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni dhahiri siasa safi za maendeleo zinazofanyika Tanzania, zimechochea na kuimarisha mazingira bora zaidi ya kufanya biasha, na kusababisha hivi sasa, karibu kila eneo mijini na vijijini kuna soko, duka au masoko ya bidhaa mbalimbali yamafunguliwa.
Hizi zote ni ajira zinazotokana na fursa muhimu sana ya mazingira, mahitaji na masoko ya kufanya biashara.
Hii ni ishara njema kwamba nchi imefunguka pakubwa, uwekezaji biashara, viwanda, kilimo na masoko vimeongeza ajira kwa kiasi kubwa sana na uelekeo wa kupiga hatua kubwa zaidi kama nchi kimaendelo ni mzuri sana....
MUHIMU ZAIDI KUZINGATIA KULIPA KODI YA SERIKALI INAYOSTAHILI KWA HIYARI NA KWA WAKATI...
Uelewa na ufahamu wa wanainchi kisiasa unakwenda sambamba na kuinua uchumi wao, kuinua vipato na hali za maisha yao, lakini pia na kuongeza ajira nyingi zaidi katika sekta za biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nakadhalika, hakuna biashara ya kukosa soko Tanzania kwa sasa.
Mama ameifungua nchi, tumuombee aendelee zaidi ya hapa alipotufikisha.
Mungu Ibariki Tanzania.