Ila ingekua kaandika mashamba ungeipenda. Una double stabdards.Umeandika ushuzi..!
UnazinguaJikite kwenye mada
"SIASA SAFI TANZANIA IMECHOCHEA NA KUKUZA BIASHARA NA AJIRA NCHINI"
nimeingia dar jana jioni,Umeandika ushuzi..!
ndio,Jikite kwenye mada
"SIASA SAFI TANZANIA IMECHOCHEA NA KUKUZA BIASHARA NA AJIRA NCHINI"
Halafu unajisifu kwamba kuna kitu umeandika hapanimeingia dar jana jioni,
nikapita njia ya mbezi -kinyrezi -segerea hadi mjini kati hotel niliyofikia,
huwez tembea hatua zaidi ya 5 au chini ya10 usikute biashara ama ya duka la nguo, vyakula, vinywaji hardware, vifaa vya ofisini n.k yaani ni biashara, biashara, biashara, kushoto biashara, kulia biashara, kumependeza kwa biashara mbalimbali,cheki hata mitandoni ni biashara tu...
hizi ni ajira, na haya ni masoko na biashara inafanyika.....
na Lazima mazingira yaboreshwe zaidi ili kuzalisha ajira zaidi....
sasa ikiwa uelewa na ufahamu wa mtu unashia mathalani kama kwenye reply hii, shida na tatozo linabaki ni binafsi yako tu labda kwa hofu ya kutokuthubutu kuingia kwenye ajira hii muhimu na uhakika ya biashara...
muhimu zaid shida binafsi zikatatuliwa kibinafs....
ila ukweli lazma usemwe tu bila kujali maneno mbofu mbofu π
hakuna haja kusifia ukweli....Halafu unajisifu kwamba kuna kitu umeandika hapa
Uchawa na uchawi vinatenganishwa na uzi mwembamba sanaaaahakuna haja kusifia ukweli....
yaani mambo yako hadharani mchana kweupe then unasifia?
unless unataztizo jengine....
na actually si ndio maana umereply maana yake kuna kitu nimeaandika ila huna unachoweza kukibatilisha π
I conquer with you. Wakati wa jpm siasa ilikuwa ni vita. Yule bwana alikuwa anaogopa akina lisu kama ukoma. Sasa hivi kila kitu kipo mubadhara mama haogopi mtu yeyote mana anajua kupangua hoja zoteNi dhahiri siasa safi za maendeleo zinazofanyika Tanzania, zimechochea na kuimarisha mazingira bora zaidi ya kufanya biasha, na kusababisha hivi sasa, karibu kila eneo mijini na vijijini kuna soko, duka au masoko ya bidhaa mbalimbali yamafunguliwa.
Hizi zote ni ajira zinazotokana na fursa muhimu sana ya mazingira, mahitaji na masoko ya kufanya biashara.
Hii ni ishara njema kwamba nchi imefunguka pakubwa, uwekezaji biashara, viwanda, kilimo na masoko vimeongeza ajira kwa kiasi kubwa sana na uelekeo wa kupiga hatua kubwa zaidi kama nchi kimaendelo ni mzuri sana....
MUHIMU ZAIDI KUZINGATIA KULIPA KODI YA SERIKALI INAYOSTAHILI KWA HIYARI NA KWA WAKATI...
Uelewa na ufahamu wa wanainchi kisiasa unakwenda sambamba na kuinua uchumi wao, kuinua vipato na hali za maisha yao, lakini pia na kuongeza ajira nyingi zaidi katika sekta za biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nakadhalika, hakuna biashara ya kukosa soko Tanzania kwa sasa.
Mama ameifungua nchi, tumuombee aendelee zaidi ya hapa alipotufikisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Biashara ya kuchuuza bila kuzalisha mali.Ni dhahiri siasa safi za maendeleo zinazofanyika Tanzania, zimechochea na kuimarisha mazingira bora zaidi ya kufanya biasha, na kusababisha hivi sasa, karibu kila eneo mijini na vijijini kuna soko, duka au masoko ya bidhaa mbalimbali yamafunguliwa.
Hizi zote ni ajira zinazotokana na fursa muhimu sana ya mazingira, mahitaji na masoko ya kufanya biashara.
Hii ni ishara njema kwamba nchi imefunguka pakubwa, uwekezaji biashara, viwanda, kilimo na masoko vimeongeza ajira kwa kiasi kubwa sana na uelekeo wa kupiga hatua kubwa zaidi kama nchi kimaendelo ni mzuri sana....
MUHIMU ZAIDI KUZINGATIA KULIPA KODI YA SERIKALI INAYOSTAHILI KWA HIYARI NA KWA WAKATI...
Uelewa na ufahamu wa wanainchi kisiasa unakwenda sambamba na kuinua uchumi wao, kuinua vipato na hali za maisha yao, lakini pia na kuongeza ajira nyingi zaidi katika sekta za biashara, kilimo, ufugaji, uvuvi nakadhalika, hakuna biashara ya kukosa soko Tanzania kwa sasa.
Mama ameifungua nchi, tumuombee aendelee zaidi ya hapa alipotufikisha.
Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe uzi wao wenyewe hauna hoja sasa unataka ujibiwe hoja ipi??mbona huna hoja sasa kuhusu hoja iliyopo mezani....
hiyo porojo ya mihemko, si ni useless tu, mie si hodari wa maneno mbofu mbofu.mimi ni wa hoja tu π