realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Inaelezwa kuwa zamani baadhi ya Viongozi walikua wazalendo kiasi kwamba walijitahidi kwa uwezo wao wote kuhakikisha Kuwa Tanzania inakuwa imara.
Sasa hivi wengi wao wana sura mbili akiwa mbele za watu ni mzalendo nyuma ya kamera yeye ni mpinga mafanikio.
Wengi wanataka kuwa na Pesa nyingi na uwekezaji kisha waachane na Siasa.
Kingine ung’ang’anizi wa madaraka.
Madaraka yanaendana na kuwajibika na sio kuvaa suti tu.
Siasa safi ni ile ya kizalendo na sio sifa mbele za watu.