H Herman mtongano Member Joined Dec 30, 2012 Posts 53 Reaction score 3 Jan 1, 2013 #1 hivi ni kwanini siasa vyuoni inapigwa vita vikali? hali ya kuwa tunajua hatuwezi tenga siasa na maisha ya mtu/ na jamii kwa ujumla, naombeni jibu ili niweze pata cha kuanzia kukisema
hivi ni kwanini siasa vyuoni inapigwa vita vikali? hali ya kuwa tunajua hatuwezi tenga siasa na maisha ya mtu/ na jamii kwa ujumla, naombeni jibu ili niweze pata cha kuanzia kukisema