ccm ni mwanaume kwa hapo kwani yeye ndo mwenye maneno mazuri wakati wa kampeni (kutongoza) na maofa kibao wakati huo (kuhonga) then wakishapata walitakalo hutufanyia visa na vituko vya kila aina. Baada ya kuona tumechukizwa naye na kutaka kumnyima lile analolitaka kwa mara nyengine basi hurudi kwa matao ya chini huku akisema maneno yake yafananayo na "kukosea ni kawaida kwa binaadamu, nipe nafasi nyengine kwa mara ya mwisho unione kama nitarejea, mara hii nitakamilisha ahadi zangu kwako na mengine kama hayo. Na cdm ni sawa na mwanaume anayetongoza ila hajafanikiwa. Mgumu wa kuhonga, maneno mengi na ana compit vizuri tu lkn kazidiwa mbinu na ccm.