Siasa za Bachelor of Education (Adult & Community Education)

Siasa za Bachelor of Education (Adult & Community Education)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Sisi wahitimu wa hii kozi tunataabika mtaani mpaka aibu. Yaani unaomba ajira unaambulia kebehi tu

IMG-20220428-WA0003.jpg
 
HV inakuwaje njemba nzima unaenda kusoma education Tena history na kiswahili au hayo makitu so Bora tu ingeenda kusoma veta Happ changombe ya Mambo ya ushonaji na Manson leo ungekuta unapiga pesa za miradi za covid

Kak shtka Kama uko vzr njoo veta piga koz hat ya umeme wa manyumban au
 
Miaka 3+Mkopo toka bodi pendwa
 
HV inakuwaje njemba nzima unaenda kusoma education Tena history na kiswahili au hayo makitu so Bora tu ingeenda kusoma veta Happ changombe ya Mambo ya ushonaji na Manson leo ungekuta unapiga pesa za miradi za covid

Kak shtka Kama uko vzr njoo veta piga koz hat ya umeme wa manyumban au
acha dharau hayajakukuta wewe
 
Hii kozi ni nzuri kwa walimu wanaojiendeleza uhitaji wake ni mdogo sana kwa mtu anayeanza ajira.

ushauri

Katafute ajira kwenye Taasisi ya elimu ya watu wazima.
Shida mno
 
Back
Top Bottom