Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kinachoendelea baina ya upinzani wao kwa wao, humu nchini ni cha kusikitisha na kinakatisha Tamaa san wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa mno. Kitaalamu ni hujuma miongoni mwao. Ni aibu sana..
Sawa, hawana nia, mipango, uelekeo, wala uewezo wa kushika dollar na kuunda Serikali, basi walau pawepo na United, visionary na vibrant oppositions tu, walau kucheck the ruling government operations, lakini hata hiyo wao wenye wapinzani kwa wapinzani wanapigana wao kwa wao pasiwepo na kitu kama hicho, ni fedhaha sana,dah?
Ndugu zangu hii akili au matope?
Chuki binafsi wanazodhihirisha mbele za umma miongoni mwao, uhasama wa wazi wazi, dharau kwa wengineo, ubinafsi, uchu na tamaa ya madaraka vinawasambaratisha, vinawafhoofisha na kuwapotezea malengo na kuaminika kwa wananchi kabisaa.
Wajinga waliisha Tanzania, hakuna wa kupoteza muda kuambatana na kuandamana na taasisi isiyo na uelekeo, malengo wala dira.
Leo hii upinzani hauaminiki tena na wala haukubaliki kabisaa kwa wananchi Tanzania, kwasabb tu ya kuchukiana na kutokupendana kwao kuliko wafanya wasiwe na mawazo mapya ya pamoja, uelekeo wala fikra mbadala na kuwavutia wananchi wengi zaidi kuwaunga mkono, badala yake ni kulalamika na kupinga kila kitu tu pasipo kuonyesha mbadala au majawabu wa malalamiko yao suluhu itakuaje. Ni giza totoro kwa upinzan Tanzania kwakweli.
Kwa mfano, mwanasiasa moja wa upinzani alinukuliwa kwenye chombo Fulani cha habari nchini, akipendekeza kwamba ili upinzani nchini kua na nguvu zaidi na pengine hata kuweza kushinda uchaguzi na kukamata dollar ni muhimu zaidi kuungana na kuwa na nguvu zaidi ili walau kuleta ushindani na changamoto kwa mgombea mwenye nguvu sana wa chama Tawala. Na hiyo itachochea hata Serikali iliyopo kazini kuwajibika zaidi ipasavyo kwa mujibu wa katiba na hivyo maendeleo na ahuweni ya maisha kwa wanainchi itaonekana, na huo ni miongoni mwa wajibu muhimu wa upinzani imara..
Matokeo ya mapendekezo na ushauri huu wa miongoni mwa kiongozi muandamizi upinzani ni kichekesho sana kwa Taifa aise, dah! inasikitisha sana.
Kwa mihemko na ghadhabu ya kiwango cha juu sana isicho na kifani, kiongozi yule ameoga mvua ya dhihaka, matusi na kejeli kutoka kwa wapinzani wenzake mpaka inatia huruma na kinyaa dah ina shangaza sana kwa kweli?,
Ndugu zangu, hivi haya yote, unaweza ukasaidia kuyaeleza kisiasa, kwa kina kidogo kifupi tu, yanafanyika kwa faida ya nani humu nchini
Samahani sana kwa hoja hii nzito sana, ni kwa mustakabali mwema wa demokrasia yetu humu nchini 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Pia soma > Kuelekea 2025 - Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao