ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Wasalaam
Wakati majuzi Kenya imetoka kupoa kutoka maandamano ya Gen Z. Kabla hawajakaa sawa leo wapo kwenye moto mwingine wa Kumfukuza kazi DP Makamu wa raisi wa Kenya kwa Tuhuma mbalimbali ikiwemo ukabila. Na kufinance Maandamano ya Gen Zee.
Kwa mujibu wa sheria za Kenya ukishakuwa impeached. Hauruhisiwi tena kuja kugombea kiti chochote kisiasa. This is a political suicide. Now mzee Rigathi aka mtoto wa mau mau kama anavyojiita amebakiwa na siku mbili tu leo na Kesho ku-tender resignation letter ili aweze kugombea tena siti za kisiasa siku za usoni.
Tuwatakie kila lililo jema kwao kwa ustawi wa siasa za kistaarabu na kufuata sheria
Kenya ni kubwa kuliko wanasiasa