(Siasa za Kulaumiana na Kubaguana) - The Rise of Populism and Extremism

(Siasa za Kulaumiana na Kubaguana) - The Rise of Populism and Extremism

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15,460
Reaction score
24,233
Wapiga Kura sio mara zote wanakuwa na Uelewa wa Mzizi wa Tatizo lao, hapo ndipo kina Hitler, Trump na wengine wengi wanaweza kutumia fursa ya matatizo hayo ya Wapiga Kura kama Mtaji wa Kisiasa. Leo hii akitokea Opportunist wa Mtaji wa Machinga kuendelea kufanya kazi sehemu hatarishi huenda akapata Kura zao na kuingia Ikulu (Bila hata wizi wa Kura) lakini kwa Machinga kufanya kazi sehemu hatarishi ni kutatua tatizo lao ?

Na sasabu ni Demokrasia na waliopo Madarakani kushindwa kuwatimizia wananchi shida zao (hata kama ni vigumu kuzitatua mapema au atakayekuja na yeye atashindwa kuzitatua) lakini Watu hawa walaghai ni rahisi sana kuingia madarakani kwa nguvu ya Ulaghai wao kwa UMMA…

Tunafanyaje kuepuka hilo ? Je Demokrasi kama ilivyo sasa inaweza ikatukinga na Extremists na Populists? Ukizingatia Voters wengi ni Uninformed….

Je Tunahitaji kuibadilisha Demokrasia yetu na Kupata Demokrasia 2.0 ?

 
Hii ilikuwa 2021 now 2025 tunawaona kina Trump na wengine wengi tu watakuja.., sio kwamba nasema ni utabiri bali ukweli ni kwamba.....

The only thing new in the world is the history you do not know.'
 
Tutegemee watu / nchi nyingine nyingi kuiga mifumo ya kina Trump; Historia ni Mwalimu, kama tusipobadilika na majority wakaendelea kuwa na shida basi tutegemee kuendelea uwepo wa hawa populists
 
Back
Top Bottom