Elections 2010 Siasa za Maji taka zishindwe - DR. Slaa upo juu babaa - Umewakamata!


Nilimweka juu sana kwenye chati huyu mama, yaani nilimwona bora kuliko wagombea wengine wote wa CCM, kama ni hivyo basi CCM imetoka! PdD bado hajiamini anamtaka EL na hata kale kamdahalo akakaogopa! Puhhhhhhhhhh

Upinzani wanapaswa watafute saasa mkakati wa pamoja wammalize CCM. Imagine wanaachiana sasa!
 
Napensda kuwafahamisha kuwa katikan wiki nne zilizopitanilikuwa kigoma, kibondo na kasuru. Huko baadhi wanampenda jk lakini wanaompenda dr. Slaa. Lakini cha muhimu sana ni kuwa kuna baadhi ya watanzania ambao walikuwa tayari kutopiga kura kwa sababu hawakuwa wnajua wamchague nani lakini tangu dr. Slaa kujulikana kuwa anagombea, wako tayari kusafiri umbali mrefu ili mradi wapige kura. Jamaa mmoj a alisema "mimi najua kuwa ccm huwa wanaiba kura lakini mimi nitasafiri mpaka tanga (ndiko kwao) ili nimpigie dr. Slaa. Hata kama wataiba kura yangu, ni sawa tu, lakini nitaenda kupiga" just imagine sone one traveling from kigoma to tango to vote?!!!!
 
Hata Mrema alipandikiziwa mwanamke mwaka 1995 (Anjelina) kesi hizo hazijulikani ziliishia wapi. Mpaka leo hakuna taaru=ifa yoyote kuhusiana na na kesi hizo. CCM wamezoea kubambikizia kesi. wale wanaofuatilia Mwaka 1995 Rage aliingizwa katika kesi mpaka akafungwa aliachiwa baada ya uchaguzi kuisha maana :there was noneed for him to stay in jail, becouse the process has passed". hata Bashe, walisema si raia, Leo wamesema ni raia kwa vile process imepita.

So pia hili hiyo kesi ni ya kisiasa, uchaguzi ukiisha, hautasikia kuibiwa mke, kunyang'anywa mke, kesi wala upadri. watanzania wapenda mageuzi, vuta uzi zaidi, msilegeze kamba. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu ibariki Africa, Mungu Mbariki dr. Slaa.
 
Jana alikuwa kwenye mahafari ya Trust alionekana kachoka, akawa anajaribu kuingiza siasa anashindwa ikawa kama mtu aliefumaniwa..alishindwa kabisa kuvuta hisia za mamia ya watu waliokuwa majazana mahali hapo...Ninacho kiomba ni vya vya upinza kuweka wasimamizi vitu vyote siku ya uchanguzi maana DK Batilda anaonekana kujipanga kifedha sijui jeuri ya Lowasa...
 

Hivi huwa uko serious na haya unayoyafikiri na kuyasema mkuu? Naomba urudie tena kusoma taratibu, halafu tafakari kuhusu uongozi wa JK na mambo yake! Ukitaka unaweza ku-edit, lakini kama ni mawazo yasiyobadilika, unahitaji ushauri!
 


iwe Zuma iwe nani mm siwezi kuunga mkono wasio na maadili kama Slaa wawe ciongozi wetu. wanaofuata wanajifunza nn?

waone uzinzi ni jambo linalokubalika ktk jamii yetu ya Tanzania? hapana

huko unakosema wamepitisha sheria ya ushoga na ndoa za jinsia moja, jee na ss tuige ?

hapana hili ni Taifa huru na kwa ukweli lazima wanatuongoza wawe CCM au CHADEMA lazima wawe safi

na hapa ndio kama kweli mnampenda mwalimu na sio kujidai kumpenda na kuacha mafundisho yake, alisisitiza sana miiko ya uongozi

ikiwemo maadili, Mshenzi huyu anaiba mke wa mtu anazini na kuzaa bila ya ndoa ilihali akijua kuwa Kanisa linahimiza watu waowane tumpe urais kirahisi hapana


mm ningewaona CHADEMA chama mbadala kwa kusimamia maadili ya muafrika na mtanzania kwa vitendo na sio kufuata ushabiki


chadema si chama makini hata ukuangalia historia ya mwenyekiti wake mzee wa WAPUKI
 
Hivi Kikwete ana maadili gani vile. Sijawahi kukusikia ukimlalamikia. Na Lipumba je?
 
Hivi Kikwete ana maadili gani vile. Sijawahi kukusikia ukimlalamikia. Na Lipumba je?


kama yao yapo na yaletwe tuyazungumze.

ya huyu mwenyewe nakiri kuwa Josphine ni mchumba wake na kuna mtu anasema ni mkewe na Josphine anakiri kuwa ni mumewe ila alimkimbia miaka mitatu mume anasema ni miezi sita

sasa kama una ya Lipumba na JK yalete

ss hatushupalii viongozi wasio na maadili kama huyu mzinzi
 

Tunataka mabadiliko ya uongozi, kiongozi shupavu mwenye maamuzi na kujua anachokifanya. Kama ni kuchagua walii ambaye hajawahi kuzini (sijui utamtambuaje) hiyo sio kazi ya wapigakura wa Watz. We are done with JK + CCM, hawana jipya na kukubali kuendelea nao ni kuzidi kujikita ktk tope la umaskini.
 

hivi ww unaona unataka uongozi mpya hata ikiwa huyo ajae ni mbaya zaidi, mtu yeyote alieshindwa kusimamia maisha yake hawezi kusimamia maisha ya wengine
 
Mtu wa Pwani,

..mwaka 1995 Prof.Lipumba alikuwa na kesi kama hii ya Dr.Slaa. mwanamke aliyetuhumiwa "kumuiba" alikuwa anaitwa Georgina.

..haya mambo ya kutembea nje ya ndoa/kuingilia ndoa za wengine ukianza kuyafuatilia unaweza ku-disqualify wagombea wote wa Uraisi.
 

Na nimesikia juzi ana mjengea na barabara akitoka Lushoto apite Handeni then afike kiwandani kwake kwa lami, then aende hadi kilosa kumsalimia Mmalawi.
 

Ushahambiwa alikuwa mwalimu mkuu shule ya msingi enzi hizo kabla ajabaka, na alisoma mzumbe certificate( stakabadhi) akafeli pia.
SASA CHANGANYA NA ZAKWAKO UTAJUA ELIMU YAKE!
 
Unajua siasa ni mchezo mchafu, kuchafuana ni sehemu ya kampeni, sikuzote Jk akiwa katika kampeni huta sikia anataja majina wala kukashfu wagombea zaidi ya kusema wasiawadanganyeni na kumwaga sera zake kwa wananchi
Dr anateswa na magazeti na skendo zake, anatumia muda mwingi kudili na magazeti yamemuandika nini na kuanza kujibu kupitia kampeni, Jk anamwaga sera tu.
Chadema hawajui kuwa kuna mtu anaitwa tambwe hiza mzee wa propaganda haongei kwa sasa ila kazi yake inawatesa vibaya chadema
 
Tunajichafua wenyewe kama akina Wayne Rooney, Tiger Woods, John Terry, Bill Clinton,...., halafu tukionyeshwa uchafu huo tunang'aka, tunarusha lawama kungine! Sikumtarajia shujaa wangu Dr Slaa anase kwa akina mama kwa kiwango hiki.

Hata Mfalme Daudi alikosa kwa hilo lakini akajirudi na Bwana akamwambia hakika nitaufanya ufalme wako kuwa imara kwa kuwa aliwapigania watu wa Mungu (wahitaji). Hivyo shujaa wetu tutamuenzi kwa mema anayotendea watu wa taifa hili. Tuko nyuma yake kwa ujasiri na msimamo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…