Siasa za SUGU na VINEGA


VINEGA ni HARAKATI and their prime aim si kutengeneza faida. HARAKATI zinalenga kumkomboa msanii kwanza aondokane na hao wanaohujumu uchumi wa muziki. Unafahamu ni kiasi gani DEIWAKA ENT. inatumia kuandaa haya matamasha (bila udhamini)? Then you shouldn't say SUGU is using them. Huna haki ya kusema hivyo. Wewe na waliokutuma wote ni wanafki
 
Nafikiri ujumbe umefika mkombozi wa wasanii hawezi hata siku moja akawa politicians, kwa lugha rahisi sugu anawatumia tu kwa maslahi yake ya kuwawini wanambeya.

Kwa kuwa wanambeya wote ni wasanii wa bongofleva?
 

Tatizo lenu hamjazoea kufanya kitu bila kutumwa...
 
Kuna mdaslamu mmoja analia kuwa Zungu na masaburi hawashiriki ktk kuokoa waadhirika wa mafuriko hapo daslamu.
Vinega wameridhia kutoa msaada bado tu unalalama.
Hii anti virus sio kwa ajili ya virus tu, mpaka minyoo tunafanya scanning.
Una tape worm wa mita 5 tumboni na usipokuwa makini atapanda mpaka kwenye medula.
Ant virus with no apology.
 

Waliodhiria sizo VINEGA ila ni SUGU. VINEGA ni wachovu masikini, hawana uwezo wa kutoa charity kubwa kiasi hicho. Hata familia zao zikisikia kuwa mapato yao makubwa kiasi hicho yanaenda kwenye eneo la strategy za kisiasa la SUGU watahuzunika sana.
 
Waliodhiria sizo VINEGA ila ni SUGU. VINEGA ni wachovu masikini, hawana uwezo wa kutoa charity kubwa kiasi hicho. Hata familia zao zikisikia kuwa mapato yao makubwa kiasi hicho yanaenda kwenye eneo la strategy za kisiasa la SUGU watahuzunika sana.

Tuweke kumbukumbu vizuri kwenye Red-

[h=6]PeenLawyer SwahiliOriginaltzcom

[/h][h=6] ‎***we do it for the people*** KAMATI KUU YA VINEGA WA ANTI-VIRUS IMEPITISHA KUWA KATIKA KILA TSHS 3,000/- YA KIINGILIO CHA CONCERT YA MBEYA DEC 24...,TSHS 1,000/- ITAENDA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO YA IYUNGA MBEYA...[/h]
MBEYA 24 SOKOINE STADIUM 3000/=
Saturday, December 24, 2011
SOKOINE STADIUM MBEYA CITY
KIINGILIO NI 3,000/= TU.!
 

Kamati kuu ya VINEGA ni maneno ya siasa. Ukideal na mwanasiasa you have to be very smart. Ulitaka mpaka akwambie kuwa mimi SUGU nimeamua... Hiyo ni sawa na Mbatia anavyosema kuwa NEC imemfukuza uanachama Kafulila wakati anajua wazi kuwa yeye ndiye aliyemfukuza.
Wasanii ipo siku watapata ufumbuzi wa changamoto zao lakini sio kupitia kwa mtu mwenye malengo ya kutoka kisiasa.
 
We do it for the people... hahahahahahaha you can fool some people for some time, but...
Yaani hao people wapo Mbeya tu? Dar es Salaam, Arusha hakukuwa na people?
 

Concept ya benefit concert katika context ya socially responsible entertainment labda bongo haijulikani, lakini ni kitu cha kawaida.

Kimsingi, mtu akiingia katika concert hii si kwamba anaingia kutafuta pesa kihivyo, zaidi ni kusaidia jamii.

Watu washafanya mpaka "We are The World" wakatoa karibu hela zote msaada Ethiopia.

Unaweza kusema Sugu anatumia muziki kisiasa, lakini sio kwa suala hili. As long as kuna disclosure, mtu ukiingia katika mkataba huku unajua, na ni age of majority hukudanganywa wala kulazimishwa, mie sioni tatizo.

Tena ningependa kuona wasanii wanazidi kufanya hizi benefit concerts, kuwaokoa wananchi na fikra kwamba kila kitu tutegemee serikali. Vitu vingine wananchi wenyewe tunaweza kujikusanya kusaidiana.
 
We do it for the people... hahahahahahaha you can fool some people for some time, but...
Yaani hao people wapo Mbeya tu? Dar es Salaam, Arusha hakukuwa na people?

Show inafanyika mbeya na mafuriko yametokea pia mbeya na sugu ni mbunge wa mbeya.
Unajitesa mdogo wangu, khaaa!!
 
Hapo kwenye red panadhihirisha una tatizo flani la political immaturity.
Naangalia kungFu channel kwa sasa.
 

Hivi wale wanaowalaumu mchana usiku jioni asubuhi, the so called Clouds huwa wanamlazimisha mtu kuingia nao mkataba?
Swala hapa sio kulazimishana kwa sababu Tanzania hakuna mtu anayelazimishwa kufanya kitu. Swala ni conflict of interest... Kwenye "we are the world" kulikuwa na conflict of interest?
 
Mkuu hujaanzisha hii thread kwa roho safi! Ungeshauri Vinega kuwa kila mkoa watapoenda kupiga show na kuna athari za mafuriko watoe msaada hata mimi ningekuunga mkono.umeandika kizandiki! Hatuwezi kuendelea kwa roho za namna hii!
 
Zemakopos kama wakikujibu kuwa wameguswa na mafuriko ya wana Mbeya ndo maana wameona watoe asilimia 33 ya kitakachopatikana kwenye show utarudi hapa na jibu gani? au utarudi utuambie hawana hoja?
 

Unaelewa maana ya conflict of interest?

Next thing utasema Kikwete asiombe msaada nje kwa sababu yeye kama rais itamuongezea popularity na hivyo ku create conflict of interest.

Mbunge mwanamuziki kaamua kufanya tamasha na rafiki zake kusaidia jimbo conflict of interest iko wapi?

Mwisho mtasema mbunge asilime, kwa sababu akilima na kuenda bungeni kutetea wakulima kutakuwa na conflict of interest.
 

Puppy,
Nakubaliana na ww.
Huyu SUGU matamasha ya kuchangia jamii hajaanza kuyafanya leo. Nakumbuka mwaka 1999 ali-launch album kwenye ile club ya Usiku wakati huo ilikuwa Sam Nujoma road na baadae akaenda Mbeya akaahidi tena sehemu ya mapato yake katika uzinduzi huko Mbeya angechangia wahitaji wengine na alifanya hivyo.
Wengi hapa wanafikiri kwa urefu wa pua. Full ushabiki.
TAFAKARI.
CHUKUA HATUA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…