Siasa za Tanzania tabu sana

Siasa za Tanzania tabu sana

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
7,808
Reaction score
16,972
Tulianza na samaki wa magufuli, kesi ikaenda mahakamani, wachina kwa ushawishi wao kesi ikatupiliwa mbali na fidia wakadai pia. Sasa leo wametupa meli mbili za kivita ili tulinde pwani zetu vizuri. Hii ni COINCIDENCE au ndio makubaliano yaliyofikiwa,kesi ife,wale wahalifu wa kichina waachiwe ili tupate meli za kivita, WIN WIN SITUATION.

Linalo nitia kichefu chefu, eti meli zimepewa majina ya MSOGA na MWITONGO. Vijiji walivyozaliwa maraisi wetu.

Hivi kwanini meli moja isingeitwa Hashim Mbita au Shaban Robert AU Karume, iitwe Msoga, kwa lipi la kutukuka alilofanya Raisi huyu wa sasa.

Seriously you CCM guys are joking
 
Back
Top Bottom