Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
SIASA ZA WAZI KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1950
Mtangazaji Khalid Gangana kalipenda neno, "Wazimu," na kalitumia kwenye kipindi hiki.
Neno hili mimi nimelichukua kutoka kwa Dr. Harith Ghassany mwandishi wa kitabu maarufu, " Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru."
Dr. Ghassany alikuwa akieleza sifa makhususi alizojaaliwa mtu basi yeye husema, "Ana wazimu yule."
Nilimwambia Juma Mwapachu siku moja, "Kaka Juma umechukua wazimu aliokuwanao baba Hamza Kibwana Mwapachu umemranda kwa mengi."
Alicheka sana kafurahi mimi kumwambia amerithi akili za baba yake.