Staff SargentSajenti tajiri ni cheo gani jeshini?
Hivi ndiyo typical Watanzania tulivyo. Tunaponda kila kitu. Kama Srrikali isingempa hiyo zawadi pia kuna mtu angeandika uzi wa kuponda. Kimsingi hatujui tunachotakaZawadi ya nyumba aliyopewa Alphonce Simbu na Rais Samia Suluhu Hassan imeibua mjadala mpana, ambapo kwa upande mmoja inatafsiriwa kama ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia ushindi wake wa kihistoria kwenye mbio za Marathon, lakini kwa upande mwingine inachukuliwa kama mkakati wa kisiasa unaolenga kuongeza mvuto wa serikali na chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu, jambo linaloonyesha namna michezo na siasa zinavyoshikana na kuathiriana katika nyanja za kijamii na kisiasa.
=================
View attachment 3480973
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemkabidhi mwanariadha Alphonce Simbu hundi ya Shilingi milioni 20 kwa kuitangaza vyema Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya Mbio za Riadha za Dunia yaliyofanyika hivi karibuni jijini Tokyo, Japan. Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemwahidi kumpatia nyumba.
Fedha hizo zimetolewa na serikali kama ishara ya ‘asante’ kwa Simbu kutokana na ushindi alioupata katika mashindano hayo ya dunia, ambao ulimwezesha pia kujipatia dola 70,000 (zaidi ya Shilingi milioni 170). Mbali na zawadi hiyo, Simbu amepandishwa cheo jeshini kutoka Sajenti hadi kuwa Sajenti Tajiri.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika hafla ya kumpongeza Simbu, Waziri Mkuu alisema serikali imeamua kumzawadia kwa sababu ameiinua heshima ya Tanzania kimataifa. Ushindi wake umeifanya nchi kujulikana zaidi duniani kama yenye wanariadha mahiri, hususan katika mbio ndefu za Marathon.
Waziri Mkuu alitoa pongezi hizo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo, ambapo alitangaza pia kuwa Rais amemzawadia Simbu nyumba jijini Dodoma.
View attachment 3480975
“Mhe. Rais Dkt. Samia ameandaa nyumba iliyopo mkoani Dodoma, ambayo itakabidhiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Zoezi hili halitachukua muda mrefu kuanzia leo (juzi Jumamosi). Tusiwe viongozi tunaotamka ahadi kisha zinachukua muda mrefu hadi mtu kujiuliza,” alisema Waziri Mkuu.
Majaliwa aliongeza kuwa Simbu ameandika ukurasa wa pekee katika historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa tuzo ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathoni ya Dunia mwaka 2025.
View attachment 3480976
Pia Soma:
Unachosema ni sahihi na inapaswa iwe hivyo, ila wenzako wanalitumia kwa matumizi mengine kabisa, labda tuseme hakuna cha bure.Simbu Anastahili pongezi, Ameitangaza Tanzania kimataifa. So issue ya kupewa nyumba na fedha ni jambo la kuleta morari wa wanamichezo wengine kufanya vizuri kimataifa.
Wewe ni mpumbavu, jipige kifua mara tatu kwa mbwembwe na maringoUnachosema ni sahihi na inapaswa iwe hivyo, ila wenzako wanalitumia kwa matumizi mengine kabisa, labda tuseme hakuna cha bure.
Nimeangalia uso wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm nimeamini kweli duniani wawili wawili. Jamaa anafanana na mende (cockroaches) kabisaaaa!Zawadi ya nyumba aliyopewa Alphonce Simbu na Rais Samia Suluhu Hassan imeibua mjadala mpana, ambapo kwa upande mmoja inatafsiriwa kama ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia ushindi wake wa kihistoria kwenye mbio za Marathon, lakini kwa upande mwingine inachukuliwa kama mkakati wa kisiasa unaolenga kuongeza mvuto wa serikali na chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu, jambo linaloonyesha namna michezo na siasa zinavyoshikana na kuathiriana katika nyanja za kijamii na kisiasa.
=================
View attachment 3480973
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amemkabidhi mwanariadha Alphonce Simbu hundi ya Shilingi milioni 20 kwa kuitangaza vyema Tanzania baada ya kushinda medali ya dhahabu katika mashindano ya Mbio za Riadha za Dunia yaliyofanyika hivi karibuni jijini Tokyo, Japan. Aidha, Rais Samia Suluhu Hassan amemwahidi kumpatia nyumba.
Fedha hizo zimetolewa na serikali kama ishara ya ‘asante’ kwa Simbu kutokana na ushindi alioupata katika mashindano hayo ya dunia, ambao ulimwezesha pia kujipatia dola 70,000 (zaidi ya Shilingi milioni 170). Mbali na zawadi hiyo, Simbu amepandishwa cheo jeshini kutoka Sajenti hadi kuwa Sajenti Tajiri.
Akizungumza jijini Dar es Salaam katika hafla ya kumpongeza Simbu, Waziri Mkuu alisema serikali imeamua kumzawadia kwa sababu ameiinua heshima ya Tanzania kimataifa. Ushindi wake umeifanya nchi kujulikana zaidi duniani kama yenye wanariadha mahiri, hususan katika mbio ndefu za Marathon.
Waziri Mkuu alitoa pongezi hizo kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika hafla hiyo, ambapo alitangaza pia kuwa Rais amemzawadia Simbu nyumba jijini Dodoma.
View attachment 3480975
“Mhe. Rais Dkt. Samia ameandaa nyumba iliyopo mkoani Dodoma, ambayo itakabidhiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Zoezi hili halitachukua muda mrefu kuanzia leo (juzi Jumamosi). Tusiwe viongozi tunaotamka ahadi kisha zinachukua muda mrefu hadi mtu kujiuliza,” alisema Waziri Mkuu.
Majaliwa aliongeza kuwa Simbu ameandika ukurasa wa pekee katika historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa tuzo ya dhahabu katika Mashindano ya Mbio za Marathoni ya Dunia mwaka 2025.
View attachment 3480976
Pia Soma:
ila nyie watu hapa jf nimewanyooshea mikono, yaani nimejikuta nacheka kama mwehu.Nimeangalia uso wa Mkuu wa Mkoa wa Dsm nimeamini kweli duniani wawili wawili. Jamaa anafanana na mende (cockroaches) kabisaaaa!
Bila shaka sindano imekuingiaWewe ni mpumbavu, jipige kifua mara tatu kwa mbwembwe na maringo
Sajenti Taji.....staff serget..v3 na ngao ...akikomaa sana aombe aende monduli apewe nyota 1 awe afisaSajenti tajiri ni cheo gani jeshini?
Siasa or not he should be celebrated...tatizo ni umaskini mwenzetu akitoboa hivyo tunaona sio Fair...ila kila mtu anachance yakufika alipofika ila yeye ndio aliofika na sio sisi.Zawadi ya nyumba aliyopewa Alphonce Simbu na Rais Samia Suluhu Hassan imeibua mjadala mpana, ambapo kwa upande mmoja inatafsiriwa kama ishara ya kutambua na kuthamini mchango wake katika kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia ushindi wake wa kihistoria kwenye mbio za Marathon, lakini kwa upande mwingine inachukuliwa kama mkakati wa kisiasa unaolenga kuongeza mvuto wa serikali na chama tawala kuelekea uchaguzi mkuu, jambo linaloonyesha namna michezo na siasa zinavyoshikana na kuathiriana katika nyanja za kijamii na kisiasa.