Wadau nimesikitishwa sana na matokeo mabaya ya shule za Msingi Mkoani Mbeya! siasa zimeharibu kila kitu Elimu imeshuka sana na inasikitisha, wenzetu wanasonga mbele sisi tunazidi kupotea kabisa! Jamani wana Mbeya tufanye nini?
Hebu tujadili hatua za kuchukua mapema kabisa,haiwezekani Mkoa hauna hata shule moja ktk kumi bora aibuuuuuuu! ama kweli Mbeya ilikuwa zamani nimeamini sasa.