wewe hapo ndo hujaichambua vizuri na ukaielewa!
Siyo delayed engagement, I had the graceful generosity to gratuitously grant generally that people should be given the benefit of the doubt in concluding that.
Summer School for those needing extra classes.
Jamii gani hiyo katika Tanzania ambako hollo ni jina la kiume?si mchezoInategemea jamii gani, kikwetu Hollo ni mtoto wa kiume.
But if I am wrong, it further solidifies my point as you correctly put it, wrong assumption = wrong conclusion.
Blatant pundit should go back to summer school, need immediate, intensive rally round.
hapa lengo la swali lilitaka kupata siasa iliyopo lakini ambayo uchumi wake upo duni!huwezi kutenganisha kwa sababu siasa inaifluence uchumi either positively au negativelyKati yangu mimi ninayesema huwezi kutenganisha siasa na uchumi na wewe unayefikiri kuwa unaweza nani anayeelewa?
Unafahamu concepts za fiscal policy na employment zilivyo katika economy?
Unaweza kutenganisha siasa na uchumi katika economy?
Unaweza kutenganisha siasa na uchumi?
hapa lengo la swali lilitaka kupata siasa iliyopo lakini ambayo uchumi wake upo duni!huwezi kutenganisha kwa sababu siasa inaifluence uchumi either positively au negatively
Siasa zina faida gani katika nchi zisipokuwa intergrated na vitu vingine?
Kati ya anayeamini ukweli unategemea kura na aliyeeleza ukweli hauhitaji consensus ili kusimama nani anahitaji masomo ya ziada?
Umejaribu kutoa swali
Sasa unataka kutafuniwa kila kitu?kweli unahitaji extra studies!
I told you you should look in 3D
Forget 3d, i look in 4D, 3 spatial and one in time.Which 3Ds are you looking at things in?
I am not even going into the realm of Kaluza-Klein curled up dimensions!
kama hollo anayoeleza ukweli kuwa kama siasa haitaintegrate vitu vingine hakutakuwa na maendeleo, kasema ukweli na hahitaji kwenda shule, mwingine atahitaji even a ceritication in political analysis to not answer a question by a question.
ok you should think deeply!unajua unaweza ukawa unathink deeply kumbe deep kwenye kijiko!Forget 3d, i look in 4D, 3 spatial and one in time.Which 3Ds are you looking at things in?
I am not even going into the realm of Kaluza-Klein curled up dimensions!
Definition ya siasa imeshaintegrate vitu vingine, huwezi kuiisolate siasa na vitu vingine kwa hiyo swali lolote linalotaka kui isolate siasa na vitu vingine linakuwa flatfooted kabla halijawa formulated.
definition ni definition. Synthesis needs more than a definition. Ndio maana Hollo akauliza kama siasa inaweze kuleta maendeleo bila kuwa integrated na vitu vingine iwe kama base ya discussion na sio kwamba hajui kuwa siasa ikoi ntegrated na hivyo vitu vingine.
Dear Members,
This thread will close temporarily on grounds of moderation, we beg your understanding. Thank you !
Siasa ambayo iko well intergrated nafikiri unategemea kuona uchumi mzuri,technologia bora!Sasa siasa inayobeba jina tu inakuwaje?Ukishakubali definition, huwezi kuuliza swali linalo violate hiyo definition. Wala huwezi kuwa na analysis inayotokana na that so called swali.