FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Kushuka kwa kasi kwa kiwango cha uchezaji wa Mbeya City kumeshtua wengi.
Lakini timu hii hii ilipokuwa chini ya Manispaa ya Mbeya mwaka jana ilifanya vizuri sana. Ikajichanganya na kuingia kwenye siasa za vyama matokeo yake ndiyo haya.
Mhe Sugu livyoingia kwenye Timu hiyo ndo kaharibu kabisa.Wote tumeshuhudia jinsi Mhe Mbowe na Sugu walivyo ingia kiwanjani Mbeya kwa mbwembwe na kugeuza kabisa kuwa mpira ni siasa.
Wana Mbeya tusipoliona hili timu itashuka daraja.