Kuendelea kutumia hoja za udini hata baada ya uchaguzi ni dalili za wazi za kuishiwa kisiasa Nyerere aliwahi kunena kuwa mtu yeyote anayetumia udini amefilisika kisiasa
mmmmmhhhhhhhh......... hata salamu za ugeni jamani..... tayari ushaingia na dini, jamani dini...... huna mpya..... JF endelea kupotezea thread hii isiyo na caliber ya great thinkers...