jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.
Hatuna uhakika na mambo haya labda tupe data mkuu wanguInawezekana wao ndio mabingwa wa kuwadanganya wananchi ati leta card yako tuiandikishe
Mbinu ya CCM hiyo
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.
sio kweli
ok kama ni hivo sawa
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.
mie hapo ndo ninapochanganyikiwa na hii Chukua Chako Mapema
Hilo Tangazo lina tatizo gani na linapotoshaje jamii wakati linafundisha
tatizo hawa wanapenda ukweli ukae nyuma ya pazia siku zote
Kitu ambacho hakiwezekani
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.
aaah ahah jana nimeangalia news na kugundua eti ni kweli Tangazo la sidanganyiki inabidi libadilishwe kwa sababu walionyesha stashahada ya mtu
" hivi mbona vitu vingine ni vidogo sana vinavyowasumbua watu " badala ya kufanya mambo makubwa mnaangalia stashahada ya mtu
kweli nji hii lol😀