J jamzai Member Joined Feb 18, 2013 Posts 67 Reaction score 55 Aug 18, 2014 #1 Naomba msaada jamani, Mtoto wangu ana mwaka 1 na wiki3 anaumwa U.T.I doctor akamuandikia CHROLOCIDE CHROLAPHENICAL siku ya tatu Leo toka aanze dozi amepata nafuu kidogo ila Analia sana na tumbo linajaa gesi alafu linamuuma.
Naomba msaada jamani, Mtoto wangu ana mwaka 1 na wiki3 anaumwa U.T.I doctor akamuandikia CHROLOCIDE CHROLAPHENICAL siku ya tatu Leo toka aanze dozi amepata nafuu kidogo ila Analia sana na tumbo linajaa gesi alafu linamuuma.