Side effect ya Erythromycin kwa mwanamke

Side effect ya Erythromycin kwa mwanamke

Tanya

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
340
Reaction score
159
Dokta naomba kusaidiwa,
Nimetumia antibiotic mwezi huu naona siku zangu zinapitiliza siingii kwenye mzunguko wangu wa mwezi kama mwanamke. Je, inaweza ikawa ni side effect ya dawa niliyotumia umeenda kwenye system ya uzazi kusababisha mzunguko wangu uvurugike?? .

Nashangaa leo ni siku ya 35 sijaingia kwenye siku zangu na nikipima mimba sina nimeshapima Mara NNE mimba sina.
au kuna sababu nyingine zaidi ya hii niliyohisi Mimi?

Msaada tafadhali
 
Ziko sababu nyingi zinazoweza kusababisha siku zako za hedhi zikasimama.Sina haja ya kuzitaja humu ila la msingi kaonane na daktari wa magonjwa ya kina mama(gyaenacologist).Ushauri wa humu unajichanganya.
 
huenda kuna tatizo jingine ila sio hiyo dawa.
 
nimeshapata najibu kumbe ni kweli dawa zile zilienda kufanya mchanganyo wa homons nikichelewa for a week ndo kuanzia mp.
 
Back
Top Bottom