Dokta naomba kusaidiwa,
Nimetumia antibiotic mwezi huu naona siku zangu zinapitiliza siingii kwenye mzunguko wangu wa mwezi kama mwanamke. Je, inaweza ikawa ni side effect ya dawa niliyotumia umeenda kwenye system ya uzazi kusababisha mzunguko wangu uvurugike?? .
Nashangaa leo ni siku ya 35 sijaingia kwenye siku zangu na nikipima mimba sina nimeshapima Mara NNE mimba sina.
au kuna sababu nyingine zaidi ya hii niliyohisi Mimi?
Msaada tafadhali