Side mirror cover ya Subaru

Side mirror cover ya Subaru

Jack HD

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
851
Reaction score
1,168
Hello guys, natafuta RHS side mirror cover ya nje ya Subaru impreza. Nipo Dar.
IMG_20190830_092545_5.jpeg
 
Babu mbona unayumba???
Nenda mtaa wa shauri moyo Kariakoo na kama utakosa waulize Tu hapohapo watakuelekeza au nenda mtaa wa Lindi kwa zizuu auto spare.

Ukishindwa huko kote nenda biaafra Kinondoni kuna jamaa ni bingwa na mchawi wa Subaru hapo utamaliza
 
Mzee mpaka nafika huku huko kote nilishapita. Hapo kinondoni hawana labda kama ni kubadilisha full side mirror
 
Back
Top Bottom