Side mirror cover ya Subaru

Babu mbona unayumba???
Nenda mtaa wa shauri moyo Kariakoo na kama utakosa waulize Tu hapohapo watakuelekeza au nenda mtaa wa Lindi kwa zizuu auto spare.

Ukishindwa huko kote nenda biaafra Kinondoni kuna jamaa ni bingwa na mchawi wa Subaru hapo utamaliza
 
Mzee mpaka nafika huku huko kote nilishapita. Hapo kinondoni hawana labda kama ni kubadilisha full side mirror
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…