Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Wakuu side mirror yangu moja imepasuka kioo,nimechongesha kioo cha kujitazamia nkaweka bana,dah kumbe sio kabisa yani sipati ile wide view kama kioo halisi cha gari!Wapi naweza pata kioo halisi cha kuchonga ili niweke?