Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Kama uko Dar nenda hata mbez wanachonga.Wakuu side mirror yangu moja imepasuka kioo,nimechongesha kioo cha kujitazamia nkaweka bana,dah kumbe sio kabisa yani sipati ile wide view kama kioo halisi cha gari!Wapi naweza pata kioo halisi cha kuchonga ili niweke?
TZ-DSM mheshimiwaUko nchi gani?
Maduka ya spea za magari wanauza full kioo na kasha lake la nje ambayo inacost si chini ya laki2,asa mi nataka kile kioo chenyewe tu baas!Hahaaaaa wabantu bana raha sana!! Nenda maduka ya spare za magari utapata.
Nipo dar mkuu,ni kweli asee kioo cha kabati kinapoteza mno halafu hakina wide view!Naomba nielekeze plzmkuu vioo vya kuchongesha ni shilingi elfu 15 tuu ?? na ukitaka upate mwonekano halisi ni lazima anayekuchongea hicho kioo atumie kioo cha gari huwa wanatumia kioo cha side mirrow ya canter ndio kinakuwa powa.lkn ukitumia kioo cha makabati au saloon utachekesha coz ukiangalii utakuwa unaona gari ipo mbaliii kweli.
sema upo maeneo gani nikutajie wachongaji waliopo karibu nawe hii ni kama upo dar lkn
Kama uko Dar nenda hata mbez wanachonga.