Pre GE2025 Sidhani kama kuna Kijana Mtanzania mwenye imani na CCM

Pre GE2025 Sidhani kama kuna Kijana Mtanzania mwenye imani na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,010
Habari.

Kutokana na yanayoendelea nchini kwetu.

Kuanzia Tanesco, Dawasco.

Masuala ya ajira.

Rushwa zisizoeleweka.

Upotevu wa fedha na Tozo zisizo na kichaa.

Inamuhitaji mtanzania asiye na akili timamu kuipigia kura CCM.
 
Wanachofanya CCM wanachukua vijana ambao wametoka kwenye maisha madumu na kuwafariji kwa kuwapa madaraka kiduuchu hivyo kuwafanya nao wajione ni watu miongoni mwa watu (kitu ambacho ni fake), then baada ya hapo huwatumia kusambaza uongo, mtu kama Mwalimu (wa serikali) ana maisha magumu (sio wote), ametoka kwenye background ngumu (sababu ya CCM) na ndio hao hao kila kukicha kiguu na njia kuishadadia CCM. wakishatumiwa wanatelekezwa....
 
Hakuna/Hayupo Tena Hawa Wa Sasa Ni Wasomi
Wao Waibe Kura Tu Vinginevyo Hawatapata Dollar
 
Habari.

Kutokana na yanayoendelea nchini kwetu.

Kuanzia Tanesco,Dawasco.

Masuala ya ajira.

Rushwa zisizoeleweka.

Upotevu wa fedha na Tozo zisizo na kichaa .

Inamuhitaji mtanzania asiye na akili timamu kuipigia kura CCM.
Pia ni ujinga kuweka mawazo jumuishi,watu wote hawawezi kuwaza kama wewe ,matajiri wangekuwa na mawazo ya kulaumu ajira,serikali,dawasco ,rushwa wasingefanya biashara na wangebaki maisha ya kawaida na masikini.
 
Akuna penye nafuu vyama pinzani nao wananunuliwa na CCM,akuna sababu ya kupambania siasa za hovyo za nchi hii.
 
Back
Top Bottom