Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 887
- 2,010
Pia ni ujinga kuweka mawazo jumuishi,watu wote hawawezi kuwaza kama wewe ,matajiri wangekuwa na mawazo ya kulaumu ajira,serikali,dawasco ,rushwa wasingefanya biashara na wangebaki maisha ya kawaida na masikini.Habari.
Kutokana na yanayoendelea nchini kwetu.
Kuanzia Tanesco,Dawasco.
Masuala ya ajira.
Rushwa zisizoeleweka.
Upotevu wa fedha na Tozo zisizo na kichaa .
Inamuhitaji mtanzania asiye na akili timamu kuipigia kura CCM.
Nina imani kubwa sana na CCM na Serikali yake. Naamini kwa dhati ya moyo wangu kuwa ni CCM Pekee iliyo na uwezo wa kuiongoza Tanzania na kuivusha katika mabonde na milima