Fisi wa Dar
Member
- Apr 2, 2018
- 69
- 52
Wema kitu.1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Kajala
4. Jokate
5. Agnes Masogange
Jokate hamna kitu,tupa kule!inaonekana hujawahi kukutana nae live wewe,usibabaike na muonekano wake mtandaoni1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Kajala
4. Jokate
5. Agnes Masogange
Sema wanawake wenye majina, sio wakali, ukali wa demu kila mtu anao mwenyewe1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Kajala
4. Jokate
5. Agnes Masogange
Jokate hamna kitu,tupa kule!inaonekana hujawahi kukutana nae live wewe,usibabaike na muonekano wake mtandaoni
Wewe ni fisi kweli,hao wote hakuna anayemzidi mke wangu kudadadeki,ningeweka hapa picha yake sema tu watu wanaojulikana watanipata kiurahisi mno.1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Kajala
4. Jokate
5. Agnes Masogange
Uzuri ni definition aliyo nayo mtu binafsi machoni pake1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Kajala
4. Jokate
5. Agnes Masogange
Wahuni watupu wenye rekodi mbaya za maisha ya kimapenzi na ndoa.1. Wema Sepetu
2. Irene Uwoya
3. Kajala
4. Jokate
5. Agnes Masogange