Sidhani kama Mbowe atahamia CCM, labda akipewa Uwaziri. Ni AI lakini hakuna ajuaye kesho yetu!

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Sidhani kama Mbowe atahamia CCM, labda akipewa uwaziri. Ni AI lakini hakuna ajuaye kesho yetu!

AI lakini kesho inawezekana ikawa AI ya kweli!

​
 
Zamani kidogo kuna mzee wa CCM aliwahi kuniambia kuwa CHADEMA ni chama kizuri sana lakini Mbowe ni muhuni. Nilimbishia sana yule mzee. Baada ya miaka 10 kupita leo ndio namuelewa alikuwa anamaanisha nini
mimi jamaa alipo badiri tu katiba awe yeye tu nikajua huyu bwege yupo kimaslai

yaani jamaa sasa hivi hana heshima yoyote, kila mmoja anamwona snitch tu.
 
Miaka yote alipokuwa Mzee wa mihogo na DJ CCM hawajawahi kuwapa kesi kama hii ya Lissu.
Mbowe alishawekwa gerezani kwa miezi minne na Magufuli, akawekwa miezi nane na Samia kwa kesi ya ugaidi, alipigwa akavunjika mguu bungeni dodoma.
Kusema hajateswa ni uongo mkubwa sana.

Yawezekana alimdharau Samia kumbe mwenzake ni amelenga kumteketeza kisiasa with soft power.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…