MARO BM
Senior Member
- Dec 31, 2011
- 135
- 7
Wana JF kwanza poleni na majukumu ya kila siku.
Leo nimeamua kutoa yaliyonisibu baada ya NW Mh.Mulugo kutangaza matokeo ya darasa la saba,naomba niwaulize wana JF nijisifu nini kuwa mwanangu amechaguliwa kujiunga k.1?
Nasema hivyo kwa sababu shule aliyopangiwa anapanda Magari manne(4) kwenda na kurudi ni hivyo x2,,Nauli peke yake tayari inanitoa jasho! Baada ya hayo magari manne anapanda piki piki 1500/-( pia kwenda na kurudi),Nimeshalipa malipo yao yote ila kwa sasa itanibidi nimhamishe kama hawatanipa uhamisho,vinginevyo hapa nitakuwa nafanyia kazi nauli.
Mawazo yenu ni msaada kwangu