Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Chanzo cha matatizo yote ni katiba mbovu tuliyonayo haya mengine kwa sasa yanategemea sana busara za kiongozi mkuu wa nchi.
Ukiandaa maandamano ndani yake kukawa na Samia Must GO ndani ya kuomba haki tayari kuna dalili za uvunjifu wa katiba hii hii mbovu tunayo itumia ,kwa hapa huwezi walaumu polisi
- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
Kwa kifupi tunahitaji sana katiba Mpya kuliko kitu chochote, wanaharakati, wanasiasa tumieni muda wenu kuelimisha wananchi kuhusu katiba nini, umuhimu wake, mapungufu yaliyomo kwenye hii katiba.
Kwa hili hata polisi wataruhusu maandamano lakini pia kutakuwa na back up kubwa ya wananchi na vyombo vya usalama.
Watanzania sio waoga ila inategemea wanapigania nini na kwa maslahi ya nani ,Serikali isipuuze wananchi.