JET SALLI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,392
- 1,578
Viongozi wetu wamekuwa watumwa wa akili na wanatoa kile wanachoambiwa na mabepari ambacho kiuhalisia kinapingana na hali iliyopo kwa wananchi wanaoishi maisha ya umaskini uliopindukia.jioni ya leo Rais kikwete amesema uchumi wa nchi umeendelea kuimarika,sijui Kama na yeye anaelewa anacho ongea labla kwa sababu muda mwingi anakua marekani na ulaya ndio sababu hajui nchi hii inakwendaje.Tunakokwenda kuna hatari kwa sababu hadi rais amekula matango pori na wala haelewi nini kinaendelea.