Sidhani kama watu wana akili timamu eti uchumi wa nchi unakua

JET SALLI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
2,392
Reaction score
1,578
Viongozi wetu wamekuwa watumwa wa akili na wanatoa kile wanachoambiwa na mabepari ambacho kiuhalisia kinapingana na hali iliyopo kwa wananchi wanaoishi maisha ya umaskini uliopindukia.jioni ya leo Rais kikwete amesema uchumi wa nchi umeendelea kuimarika,sijui Kama na yeye anaelewa anacho ongea labla kwa sababu muda mwingi anakua marekani na ulaya ndio sababu hajui nchi hii inakwendaje.Tunakokwenda kuna hatari kwa sababu hadi rais amekula matango pori na wala haelewi nini kinaendelea.
 
Watawala tulionao ni Wabinafsi, Vipofu, Viziwi, Wakaidi, Wana Madharau, Walafi, Majambazi, Mafisadi, Mafia, Wachoyo, Waongo, Wambea, Vichaa, Washirikina,
 

labda waisani kuongeza fungu kwenye kila bajeti yetu nahisi hivyo
 
uchumi haukui ila unabadilisha mikono toka kwa wengi kwenda kwa wachache ila ukubwa ni kama unapungua kwani unaenda mbele kwa tarakimu moja na kurudi kwa mbili, kwa thamani ya shilingi kushuka kwa lazima kwa zaidi ya 25% kwa mwaka, mchumi ataye kuambia mfumuko wa bei ni chini ya 10% huyo atakuwa wa kabila la mqwere!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…