Kama hujawahi kumsoma Sidney Sheldon ni bora ukanyamaza hana wa kufananishwa hapa duniani ukimfananisha na shigongo unamdhalilishaHuyu Sheldon ana udugu na Shigongo?
Kama hujawahi kumsoma Sidney Sheldon ni bora ukanyamaza hana wa kufananishwa hapa duniani ukimfananisha na shigongo unamdhalilisha
Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin AngelSidney Sheldon kipenzi cha roho yangu ❤
Nilianza kusoma vitabu vyake nikiwa std 5, cha kwanza kilikuwa The Stars Shine Down. Hicho ndo kitabu cha kwanza kusoma cha watu wazima. Mpaka namaliza hicho kitabu nilisema aiseee kumbe kuna vitu vizuri namna hii kwenye fasihi?
Mpaka sasa nimesoma vitabu vyake karibia vyote lakini nilichokipenda zaidi kilikuwa cha masista waliotoroka convent (nimekisahau jina mnikumbushe).
Huyu babu ndio alinifanya nisome vitabu mpaka nikawa na hisi kuchanganyikiwa kila nikipita bookshop.
Nimesoma vitabu mpaka nimefikia hatua ya kuweza kusoma kitabu cha kurasa 200+ chini ya masaa mawili.
Long live Sidney Sheldon!
Moja ya vitu ambavyo mpaka leo sijafanikiwa kuacha ni usomaji wa vitabu mbalimbali Fiction na Non- Fiction. Nimekutana na waandishi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwa kupitia Vitabu vyao na leo hii ngependa kushare nanyi Mwandishi Nguli Sidney Sheldon.
Huyu mwandishi ni mmoja ya waandishi ninaowakubali nakumbuka mara nyingi nmekuwa hata nikikesha kusoma Novels za huyu Mwandishi.
Leo hii napenda nikupatie baadhi ya Vitabu vyake.
View attachment 1484952View attachment 1484953View attachment 1484954View attachment 1484955
Robert Ludlum naye ni habari nyingineDu unenigusa sana. Nimemalizana naye huyu Mwamba. Sasa naenda na David Baldacci, Tom Clancy - Jack Ryan. Robert Ludlum na wanachokuwa nembo yake. Ila Sheldon alikuwa kiboko. Unanua jina kabla hata ya kusoma. Reading Novels Ni Hobby yangu ya toka Form 2. hela nayonunua vitabu inaweza fanya makubwa. Ila ndo addiction yangu.