Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel
Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri
Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best
Msome na Mark Greaney,,hawa ndo waandishi wa generation mpya,wana vitu adimu sanaDu unenigusa sana. Nimemalizana naye huyu Mwamba. Sasa naenda na David Baldacci, Tom Clancy - Jack Ryan. Robert Ludlum na wanachokuwa nembo yake. Ila Sheldon alikuwa kiboko. Unanua jina kabla hata ya kusoma. Reading Novels Ni Hobby yangu ya toka Form 2. hela nayonunua vitabu inaweza fanya makubwa. Ila ndo addiction yangu.
Most of simulizi za Shigongo those days alikuwa ana copy hapo kwa Sheldon kwakuwa waTZ ni wavivu wa kusoma novels kubwa kubwa tukamuona km mtunzi HodariKama hujawahi kumsoma Sidney Sheldon ni bora ukanyamaza hana wa kufananishwa hapa duniani ukimfananisha na shigongo unamdhalilisha
Kama sikosei Janifer alikuwa Lawyer alikuwa forced kulipa fadhila na Mafia baada ya yeye kusaidiwa kuokolewa MwanaeYeah, mtoto anaitwa Joshua Adams. Jennifer alitumbukia kwenye mtego wa Mafia kwasababu mafiosi mmoja alimuokoa mwanae aliyekua ametekwa na kisha alikua akiteswa na kijana mmoja kama kibaka tu
Mwanzoni alikua mpenzi wa Adam Warner ambaye alikuja kua Rais wa US. Walikubaliana na mke wa Adams(Marry kama sikosei) kuwa Marry anapewa divorce halafu Jennifer aingie . Mke wa Adams akachomoa baadae akaamua aendelee na mumewe. Ilimchnganya sana Jennifer
dah alinifanya hadi nikate tamaa kumsoma Sheldon, maana aliefananishwa nae ni shida sio kwa ngonjera zile anazoandika kila uchao kwenye gazeti udaku zakeHili suala nataka nilifuatilie. Nipatie majina kamili ya huyo RAIA aliyemfananisha SIDNEY SHELDON na Shigongo. Nipatie nimtafute.hiki suala limeharibu siku yangu yote kwa leo.how dare is he? Amekufulu katika Ulimwengu huu wa Novels.
download application inaitwa wattpad hutajutia ila jau kiaina ni option ya watu kuupload stories zao so unaweza kukutana na pumba nyingi ila ukijua madini unayoyahitaji ni rahisi kuyasaka na kupata ile kitu inapenda ni app nzuri sanahivi naweza kupata wapi hivi vitabu online..au kama kuna mtu anasoft copies anisaidie...
Mniwie radhi kwa hilo japo aliemfananisha nae jina kapuni ila alivyonijuza tu sikutaka hata kuhangaika kutafuta vitabu vya sheldon maana jamaa wa bupandwamhela aliemfananisha kwa kweli hapana novels zake ni kimeo hata ukinipa bure sisomiNi kumkosea Heshima Sidney Sheldon kumfananisha na Shigongo.hapo unapaswa hata sisi utuombe radhi. Pia ile post yako afadhali umeandika kwa kiswahili.nchi za wenzetu wangesoma amefananishwa na shigongo kungechafuka.maandamano yangetokea karibia dunia nzima wakitaka huyo aliyesema hivyo anyongwe....mimi binafsi sijawah kusoma hadithi za kitoto za Shigongo nikisoma tu ile title naweza kukusimulia kitakachotokea.
Nlishawahi kuachana na bint sababu anasoma vitabu vya Shigongo.nlimwona hayupo smart maana akaanza kuiga ujinga wa zile stories. Nikaachana naye..
Sidney Sheldon kipenzi cha roho yangu ❤
Nilianza kusoma vitabu vyake nikiwa std 5, cha kwanza kilikuwa The Stars Shine Down. Hicho ndo kitabu cha kwanza kusoma cha watu wazima. Mpaka namaliza hicho kitabu nilisema aiseee kumbe kuna vitu vizuri namna hii kwenye fasihi?
Mpaka sasa nimesoma vitabu vyake karibia vyote lakini nilichokipenda zaidi kilikuwa cha masista waliotoroka convent (nimekisahau jina mnikumbushe).
Huyu babu ndio alinifanya nisome vitabu mpaka nikawa na hisi kuchanganyikiwa kila nikipita bookshop.
Nimesoma vitabu mpaka nimefikia hatua ya kuweza kusoma kitabu cha kurasa 200+ chini ya masaa mawili.
Long live Sidney Sheldon!
Mimi kwakweli hadley Chase alinikamata sanaMoja ya vitu ambavyo mpaka leo sijafanikiwa kuacha ni usomaji wa vitabu mbalimbali Fiction na Non- Fiction. Nimekutana na waandishi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwa kupitia Vitabu vyao na leo hii ngependa kushare nanyi Mwandishi Nguli Sidney Sheldon.
Huyu mwandishi ni mmoja ya waandishi ninaowakubali nakumbuka mara nyingi nmekuwa hata nikikesha kusoma Novels za huyu Mwandishi.
Leo hii napenda nikupatie baadhi ya Vitabu vyake.
View attachment 1484952View attachment 1484953View attachment 1484954View attachment 1484955
Kate ni shidaNimesoma master of the game.
"Kama unataka kushinda unapaswa kujifunza kuwa master of the game"
Yes vya James vinachanganya sana na nimevisoma vingi. Sidhani kama nimemaliza vyote.Kama umesoma vitabu vya Sidney Sheldon utakuwa msichana Classic. The one naowapenda. Wana vitu kichwani. Hongera sana. Ngoja nijaribu kukumbuka ni kitabu gani hicho maana nami sometime huwa vinanichanganya maana nmesoma vingi sana. Kama vya Jamaes Hadley Chase ambavyo hunichanganya. Mpaka nikishike njanze mwanzo ndo nakumbuka story yake.
Ndio kabisa.Hicho cha masista chaitwa ' The Sands of Time'.
Eeee ndioThe sands of times ...Masista wale !
Mimi kwakweli hadley Chase alinikamata sana