Sidney Sheldon Novels: Wale waliomsoma huyu Mwamba

Hicho cha multiple personality kinaitwa Tell Me Your Dreams.
Mara ya kwanza nakisoma nilikuwa mdogo sikuamini kama kweli hii disorder ipo. Nilishangaa saanaa.
 
Ni Pepo hilo kwa lugha ya Kikristo. Ni hawa wapo kabisa.... Anabadilika hata sauti na behavior. Anafanya jambo halafu akirudi mwenyewe hafahamu lolote. Ndo inakuwa ana mapepo/majini kisomi wanaita multiple personality (disorder)

Hicho cha multiple personality kinaitwa Tell Me Your Dreams.
Mara ya kwanza nakisoma nilikuwa mdogo sikuamini kama kweli hii disorder ipo. Nilishangaa saanaa.
 
Jina lako limenikumbusha Tanzania Publishing House ambako nimejipatia vitabu kadhaa vya classics kwa bei nafuu kutoka taasisi ya 'Wordsworth'.
 
Jina lako limenikumbusha Tanzania Publising House ambako nimejipatia vitabu kadhaa vya classics kwa bei nafuu kutoka taasisi ya 'Wordsworth'.
😮 kumbe kuna taasisi inaitwa Wordsworth?
Sema jina langu limekuwa inspired na waandishi wawili tofauti
 
Nakukumbusha kinaitwa sands of times.
Ebwana vipi ulishamaliza kuandika kila kitabu chako?
 
Mara nyingi huwa naweza kupredict mwisho wa fiction movie au fiction stories...lakini kile cha yule mdada wa must personalities Sheldon Alinipoteza kabisaaaaa...najikuta niko msitu wa pande...yaani mwishoooni nikasema hiiiiiii na hapo ndo nilimpa Sheldon ukuu mbele Chase
 

Novel ya kwanza ya Sheldon nilisoma Dooms Day Conspiracy.

Nikaja nikasoma zingine zaidi ya 10 za, mpaka sasa sijapata ambayo imeifikia hiyo. Kwa mtazamo wangu.

The Other Side of Sidney Sheldon comes second.
 
Mimi nikiwa nasoma huwa najikuta mwili wote unasoma maana nakuwa kama namidadi fulani hivi, sipishani na yule anayeangalia mpira huku na yeye anarusha miguu. [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Angalieni katika kulaum Msije mkajikuta ninyi ndio mnalaumiwa Kwa kulaumu asiyestahili kulaumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…