Mimi nakumbuka nilianza na Dooms Day Consprancy halafu The Ring baada ya hapo nimekuwa msomaji wa Sydney mzuri tuNovel ya kwanza ya Sheldon nilisoma Dooms Day Conspiracy.
Nikaja nikasoma zingine zaidi ya 10 za, mpaka sasa sijapata ambayo imeifikia hiyo. Kwa mtazamo wangu.
The Other Side of Sidney Sheldon comes second.
I was about to ask you, then I remembered about privacy. Hongera sana kwa kuandika. Keep it up.Fiction
Tupo pamoja kwenye The doomsday conspiracy. Nilikisoma kwa siku 3 maana nilikua sitaki kukiachia. Hii ina ujasusi ndani yake na mapenzi mumo mumoNothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel
Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri
Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best
Kwa hyo umeacha kwa sbb ya wajuba kumfananisha na shigongo?? Hao wanaosema hivyo hawajamsoma vyemaMi ni mpenzi wa vitabu japo classic ones, sasa hili jina lili-pop kwenye recommendation zangu kadhaa lakini baada raia fulani kum-link na Shigongo tu nikamkacha mpaka leo, maana ule utopolo kama wa yule jamaa wa bupandwamhela siwezi soma hata iweje, ila i was unfair ngoja nipitie kidogo story zake
nina ka library cha Sidney sheldon na John Grisham......,waandishi ambao ni ngumu kuweka novel zao chini ukishaanza kusoma
Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel
Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri
Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best
Du unenigusa sana. Nimemalizana naye huyu Mwamba. Sasa naenda na David Baldacci, Tom Clancy - Jack Ryan. Robert Ludlum na wanachokuwa nembo yake. Ila Sheldon alikuwa kiboko. Unanua jina kabla hata ya kusoma. Reading Novels Ni Hobby yangu ya toka Form 2. hela nayonunua vitabu inaweza fanya makubwa. Ila ndo addiction yangu.
Robert Ludlum naye ni habari nyingine
Hapana. Vitabu vya Sheldon ndio vilim inspire Shigongo kuandika kama vitabu vya James Hadley Chase vilivyom inspire Elvis Musiba kuandika vitabu vya Willy Gamba.Huyu Sheldon ana udugu na Shigongo?
Mimi kwakweli hadley Chase alinikamata sana
Naona kaamua kumchafua Gwiji. Anamfahanisha na sijui Shigongo? Huyo Shigongo ni nani? Maana kama hata sijawahi kumsikia basi jamaa naona anafanya juhudi za kumchafua SIDNEY SHELDON.
Kuna huyu mwingine View attachment 1486463