Nimesoma novel zake nafikiri zote mpaka nimefanya collection. Nimesoma novel za waandishi wengine kama akina Ludrum, Fredrick Forsyt na wengineo ila Sidney ni Kiboko. If Tommorow Comes Is the best kwa upande wangu lakini zipo pia, Rage of angels, Doomsday Conspiracy, Tell me your dreams, The Best laid plans , The Stars Shine down, bloodline na Nothing lasts Forever.
Novel yake ambayo sikuipenda sana japo si mbaya ni Stranger in the Mirror. Ila ki ukweli ni the one of the best novelist this world had ever had. Nakumbuka niliwahi kumfata Mtu Moshi (1997) nikitokea Dar baada ya kuondoka na novel yangu ya If tommorow comes. Miaka hiyo ulikuwa huwezi kupata novel hizo zikiwa mpya labda ununue used novels pale Sky Way na Motel Agip. Kwa sasa zipo nyingi sana hasa Scolastica Bookshop Mlimani city na DDC Mlimani.