Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Sidney ni Hollywood Star ambae analipwa $25,000 kwa episode moja. Anasema kati ya hizo 10% inakwenda kwa agent wake, 5% ni ya lawyer na 3% ni ya meneja. Hela inayobaki baada ya tax ndiyo anaishi nayo yeye.
Analalamika amechoka kufanya kazi na anataka kuchukua likizo ya miezi sita kutuliza akili lakini anajua kuwa hatamudu maisha bila kazi kwa muda wa miezi sita.
Hii ndiyo mikataba ya mbelezi.