Tetesi: SIDO kuanza kutengeneza ndege/Airplane 2018?


SIDO wakifanya kweli hili nitaenda
wanafanya vizuri mpaka sasa, batik zenye ubora duniani zinatoka SIDO

Batiki na Ndege ni sawa hasa kiumakini na kiutengenezaji? Nitakuwa wa mwisho kuyaamini hayo ' mazingaombwe ' ya SIDO kutengeneza Ndege kwa mara ya kwanza hapa nchini Tanzania.
 
Zile tofali wanatengeneza wao kumbe....
 
Batiki na Ndege ni sawa hasa kiumakini na kiutengenezaji? Nitakuwa wa mwisho kuyaamini hayo ' mazingaombwe ' ya SIDO kutengeneza Ndege kwa mara ya kwanza hapa nchini Tanzania.[/QUOTE]
Batiki ndo inataka umakini zaidi maana inagusa mwilini mwako
 
Your browser is not able to display this video.

2018 inafika lini? 😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…